TaxiBubu Drivers (Dereva) logo TaxiBubu Drivers (Dereva)

TaxiBubu Drivers (Dereva)

by TAXIBUBU

🗂️ Travel & Local

🆓 free

4.9/5 ( 228+ reviews)
Android application TaxiBubu Drivers (Dereva) screenshort

Features TaxiBubu Drivers (Dereva)

KISWAHILI:Kujisaili ni lazima dereva awe na namba ya leseni ya udereva pamoja na namba ya kitambulisho cha taifa (NIDA).Programu hii imetengenezwa kusaidia kupunguza idadi ya watu kwenye usafiri wa umma ambapo tumeona mabasi ya umma yakiwa yamejazwa abiria mpaka mlangoni wakati watu wenye magari magari binafsi wanasafiri njia hiyohiyo wakiwa na magari matupu yasiyo na abiria!
ABIRIA anapaswa kufika KITUO CHA BASI au STENDI ya mabasi iliyopo karibu naye, kisha kuandika mahala anapoelekea kwenye programu halafu atamchangua DEREVA anayepita njia hiyo hiyo au anayeelekea sehemu karibu na aendako.
Dereva atapokea ombi la abiria kwenye simu na ATAMPAKIA abiria kwenye kituo cha basi alipo.
Vilevile dereva ATAMSAFIRISHA abiria mpaka kwenye kituo cha basi au ENEO SALAMA la umma lililopo karibu na mahala abiria aendapo kisha kupokea nauli.
Ni matumaini yetu kuwa kupitia programu hii, tutaweza kutengeneza jukwaa ambalo madereva na abiria watafaidika bila mmoja kumuumiza mwenzie au bila kumdhuru mtu mwingine.
Safari NjemaENGLISH:To register a driver must have a drivers license number as well as a national identification number (NIDA).This app is designed to help reduce the number of people on public transport where we have seen public buses loaded with passengers to the doorsteps while people with private cars travel the same way with empty seats!
PASSENGERS should arrive at the nearest BUS STATION or BUS STAND, then write down the destination of the program and then select the driver who is passing the same route or heading to the place that’s nearest to their destination.
The driver will receive the passengers request on the phone and will PICK UP the passenger at the bus station where he/she is located.
The driver will also transport passengers to the bus station or SAFE PUBLIC AREA located near the passenger’s destination and then receive the fare.
We hope that through this program, we will be able to create a platform where drivers and passengers will benefit without harming each other or anyone else.
Nice trip!

Secure & Private

Your data is protected with industry-leading security protocols.

24/7 Support

Our dedicated support team is always ready to help you.

Personalization

Customize the app to match your preferences and workflow.

Screenshots

See the TaxiBubu Drivers (Dereva) in Action

TaxiBubu Drivers (Dereva) Screen 1
TaxiBubu Drivers (Dereva) Screen 2
TaxiBubu Drivers (Dereva) Screen 3
TaxiBubu Drivers (Dereva) Screen 4

Get the App Today

Download on Google Play

Available for Android 8.0 and above